Brother Hemedi Member Joined Jun 21, 2016 Posts 19 Reaction score 37 Jul 2, 2016 #1 Naomba kufahamishwa please! Je,M-PESA YA KENYA inaendana na M-PESA ya Tanzania? je naweza mtumia fedha mtu aliye Kenya au yeye anaweza kunitumia mimi?
Naomba kufahamishwa please! Je,M-PESA YA KENYA inaendana na M-PESA ya Tanzania? je naweza mtumia fedha mtu aliye Kenya au yeye anaweza kunitumia mimi?
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Jul 2, 2016 #2 Brother Hemedi said: Naomba kufahamishwa please! Je,M-PESA YA KENYA inaendana na M-PESA ya Tanzania? je naweza mtumia fedha mtu aliye Kenya au yeye anaweza kunitumia mimi? Click to expand... Ndio unaweza . Nenda kwa wakala atakuelekeza jinsi ya kufanya
Brother Hemedi said: Naomba kufahamishwa please! Je,M-PESA YA KENYA inaendana na M-PESA ya Tanzania? je naweza mtumia fedha mtu aliye Kenya au yeye anaweza kunitumia mimi? Click to expand... Ndio unaweza . Nenda kwa wakala atakuelekeza jinsi ya kufanya
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 4,977 Reaction score 6,635 Jul 2, 2016 #3 LIKUD said: Ndio unaweza . Nenda kwa wakala atakuelekeza jinsi ya kufanya Click to expand... Wala haihitaji kwenda kwa Wakala, kupitia Menu ya M Pesa ataona Maelezo ya namna ya kutuma au kupokea pesa international..
LIKUD said: Ndio unaweza . Nenda kwa wakala atakuelekeza jinsi ya kufanya Click to expand... Wala haihitaji kwenda kwa Wakala, kupitia Menu ya M Pesa ataona Maelezo ya namna ya kutuma au kupokea pesa international..
Y Yotes Member Joined Mar 22, 2016 Posts 71 Reaction score 27 Jul 2, 2016 #4 Mpaka tarehe 30 June 2016 uliweza kufanya hivyo. Sijui kama ita endelea hivyo kufuatia Bajeti mpya
Brother Hemedi Member Joined Jun 21, 2016 Posts 19 Reaction score 37 Jul 2, 2016 Thread starter #5 LIKUD said: Ndio unaweza . Nenda kwa wakala atakuelekeza jinsi ya kufanya Click to expand... Thanks