Je, maalim Seif akijiunga na GNU ya SMZ wabunge wa Chadema (viti maalumu) wataenda bungeni?

Je, maalim Seif akijiunga na GNU ya SMZ wabunge wa Chadema (viti maalumu) wataenda bungeni?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu maana pamekuwepo na ushirikiano usio rasmi kati ya Chadema na ACT wazalendo.

Kwa sasa uongozi wa ACT wazalendo unaitafakari barua ya mwaliko wa kujumuika na CCM kwenye serikali ya umoja wa kitaifa na inshallah Mungu akipenda watajiunga.

Je, Chadema nao watafuata nyayo kwa kuitikia wito wa Spika Ndugai kupeleka wabunge wanawake Dodoma?

Maendeleo hayana vyama!
 
Ya ACT yanawahusuje CDM? Unauliza maswali yamepinda sana. What is the connecting link between ACT joining GNU and CDM special seats attending the Bunge
 
hiyo ndiyo habari njema mengine takataka
Hata wakilalamika Tanzania inachafuliwa hawaelezi sababu ya kuchafuliwa ni kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Wanasema mabeberu wanatuonea wivu kwakua tunajenga Stigilers George.
 
Maalim Seif kuwa Makamu wa kwanza wa Rais ni suala la muda tu!Ni wazi ana tambua ushindi wa Dr Mwinyi NA maoni yake juu ya Baraza la Mawaziri linaakisi niliyoyasema.
 
Kwa Umri wa Maalim Seif na offer iliyopo mezani, i bet atakwenda kuikubali.

Kwa upande wa CDM huku bara, No comment
 
Hata wakilalamika Tanzania inachafuliwa hawaelezi sababu ya kuchafuliwa ni kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Wanasema mabeberu wanatuonea wivu kwakua tunajenga Stigilers George.

Inasemakana tumekula pesa za Covid19 za hao mabeberu...

Cc: mahondaw
 
Wananchi si walishamkataa Babu Madevu! Asilazimishwe.
Wananchi wepi?
Alikuja majimboni kuchukua maoni ya wananchi juu ya kujiunga na SUK na jimboni kwetu wengi tulikubali tujiunge kwa sabab tukiisusia tutapata faida gani....
 
Back
Top Bottom