johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nani madevundio in nani??Wananchi si walishamkataa Babu Madevu! Asilazimishwe.
Ya ACT yanawahusuje CDM? Unauliza maswali yamepinda sana. What is the connecting link between ACT joining GNU and CDM special seats attending the BungeNauliza tu maana pamekuwepo na ushirikiano usio rasmi kati ya Chadema na ACT wazalendo.
Kwa sasa uongozi wa ACT wazalendo unaitafakari barua ya mwaliko wa kujumuika na CCM kwenye serikali ya umoja wa kitaifa na inshallah Mungu akipenda watajiunga.
Je, Chadema nao watafuata nyayo kwa kuitikia wito wa Spika Ndugai kupeleka wabunge wanawake Dodoma?
Maendeleo hayana vyama!
Utasikia habari njema kutoka Unguja muda si mrefu!Wananchi si walishamkataa Babu Madevu! Asilazimishwe.
Waliopo Ufipa wameelewa wewe huko machame endelea kufakamia mbege!ya ACT yanawahusuje CDM? Unauliza maswali yamepinda sana. What is the connecting link between ACT joining GNU and CDM special seats attending the Bunge
umeanza matusi, au ndiyo wewe ambaye hutakuwa rais sasa hasira unazileta JFππππππWaliopo Ufipa wameelewa wewe huko machame endelea kufakamia mbege!
Uchaguzi unarudiwa!Utasikia habari njema kutoka Unguja muda si mrefu!
hiyo ndiyo habari njema mengine takatakaUchaguzi unarudiwa!
Hata wakilalamika Tanzania inachafuliwa hawaelezi sababu ya kuchafuliwa ni kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Wanasema mabeberu wanatuonea wivu kwakua tunajenga Stigilers George.hiyo ndiyo habari njema mengine takataka
Hahahaaaa....... Nionyeshe hilo tusi bwashee!umeanza matusi, au ndiyo wewe ambaye hutakuwa rais sasa hasira unazileta JFππππππ
Thubutu.Uchaguzi unarudiwa!
Ukweli..JOHN BABTIST UNAHANGAIKA SANA.
unajipa kazi ngumu sana.
UKIZEEKA UTAKUWA KAMA PASCAL MAYALLA.
UTAKUWA MALLAYA.
Hata wakilalamika Tanzania inachafuliwa hawaelezi sababu ya kuchafuliwa ni kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Wanasema mabeberu wanatuonea wivu kwakua tunajenga Stigilers George.
Wananchi wepi?Wananchi si walishamkataa Babu Madevu! Asilazimishwe.