Je mabadiliko ya baraza la mawaziri yataleta tija ?

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Mkeka umechanika....!?[emoji848][emoji848]

Hivyo ndivyo mchora vibonzo wetu wakudata anavyotizama mabadiliko ya Baraza la Mawaziri nchini Tanzania.

Umemtambua nani hapo aliyeachwa na gari? na Unaona mabadiliko hayo yataleta tija?

Chanzo: DW Swahili
 
Mvinyo uleule kwenye chupa mpya!
Hakuna tija itakayoonekana na kabla ya this time next year hili baraza litapanguliwa tena
Kinachoonekana hapo ni makundi na nyufa, kuviziana na kutafutana

Hakuna mwadilifu hata mmoja, hakuna msafi, wote ni wapiga dili wasiozingatia majukumu yao! Kila mmoja anawaza kula haraka kabla hajaondoshwa hapo alipo
 
Sasa naamini hii ndio maana ya bara giza,hata uwashe taa bado giza limetanda.Hadi pale watulizwapo mahali na kuwashiwa taa na waangalizi 12πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Tumewatambua wote huyo mchoraji mvivu hodari anachukua picha(photographs) na kubandika na kuchora vimwili vya kikatuni chini kamaliza, hadi ktk sanaa tunaleta michongo tu tutaishia hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…