Je mabadiliko ya sheria ya mifuko ya jamii je waheshimiwa Wabunge inawahusu??

Je mabadiliko ya sheria ya mifuko ya jamii je waheshimiwa Wabunge inawahusu??

Mchokozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
215
Reaction score
29
Wana JF nimekaa na kutafakari kwa makini lakini sijapata jibu sahihi kuhusu mabadiliko yanayohusumifuko ya jamii, je waheshimiwa wabunge nao wanahusika na sheria hii? na kama siyo je wao si wanachama wa mifuko ya jamii? Nielimisheni tafadhari
 
Ingekuwa inawahusu wasingeipitisha.
Wao wakimaliza miaka yao mitano wanavuta fedha yao yote hata kama wanaendelea na ubunge.
 
Back
Top Bottom