M Mchokozi JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 215 Reaction score 29 Jul 26, 2012 #1 Wana JF nimekaa na kutafakari kwa makini lakini sijapata jibu sahihi kuhusu mabadiliko yanayohusumifuko ya jamii, je waheshimiwa wabunge nao wanahusika na sheria hii? na kama siyo je wao si wanachama wa mifuko ya jamii? Nielimisheni tafadhari
Wana JF nimekaa na kutafakari kwa makini lakini sijapata jibu sahihi kuhusu mabadiliko yanayohusumifuko ya jamii, je waheshimiwa wabunge nao wanahusika na sheria hii? na kama siyo je wao si wanachama wa mifuko ya jamii? Nielimisheni tafadhari
Goodrich JF-Expert Member Joined Jan 29, 2012 Posts 2,091 Reaction score 1,178 Jul 26, 2012 #2 Ingekuwa inawahusu wasingeipitisha. Wao wakimaliza miaka yao mitano wanavuta fedha yao yote hata kama wanaendelea na ubunge.
Ingekuwa inawahusu wasingeipitisha. Wao wakimaliza miaka yao mitano wanavuta fedha yao yote hata kama wanaendelea na ubunge.