Tetesi: Je, madai haya yana ukweli kuhusu mgogoro unaoendelea nchini DRC?

Tetesi: Je, madai haya yana ukweli kuhusu mgogoro unaoendelea nchini DRC?

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
kuna video clip mbili nimezitazama katika mtandao wa instagram zikionyesha hali halisi juu kile kinachoendelea hivi sasa katika nchi ya jamhuri ya watu wa congo(DRC) na kuihusisha tanzania.

nakuwekea video na screenshot hapa chini kwa uthibitisho zaidi.

pia usisahau kuacha maoni yako kuhusu kile alichodai mchangiaji mmoja kuhusu tanzania akikihusisha na mauaji yanayoendelea. je kinaukweli?.
dbfecaede26c0adfd2076241e054f2d1.jpg
54b3862a10acf55978b20fb527a8d506.jpg
4c13a70bec0170a6b70ea00eb475869f.jpg
 

Attachments

Mkuu,
Yetu tu yanaanza kutushinda tunamkabidhi Mr. Slim , Kagaem mikoba . Sasa je, ya DR Congo tutayaweza!?
 
Mbona haionyeshi kama ni JWTZ hata lugha wanaongea kizaire, hebu acha kuchafua jeshi letu
 
"Issue" ya DRC binafsi huifananisha na ile ya Mashariki ya Kati. Ni ngumu sana kubaini ukweli wake hivyo pia ni vigumu kutatua mgogoro. Bwana Yesu kristo arudipo labda ndiyo kila jiwe litageuzwa na ukweli utawekwa wazi na watu watakuwa huru!
 
kwa hiyo vijana wetu waliofia huko kwa ajili ya usalama wao hawajaona!?
hata hivyo ni mawazo yake
 
kwa hiyo vijana wetu waliofia huko kwa ajili ya usalama wao hawajaona!?
hata hivyo ni mawazo yake
ni kweli, jamaa katoa mawazo yake akiitaja tanzania sambamba na nchi zingine.
 
Back
Top Bottom