kuna video clip mbili nimezitazama katika mtandao wa instagram zikionyesha hali halisi juu kile kinachoendelea hivi sasa katika nchi ya jamhuri ya watu wa congo(DRC) na kuihusisha tanzania.
nakuwekea video na screenshot hapa chini kwa uthibitisho zaidi.
pia usisahau kuacha maoni yako kuhusu kile alichodai mchangiaji mmoja kuhusu tanzania akikihusisha na mauaji yanayoendelea. je kinaukweli?.
"Issue" ya DRC binafsi huifananisha na ile ya Mashariki ya Kati. Ni ngumu sana kubaini ukweli wake hivyo pia ni vigumu kutatua mgogoro. Bwana Yesu kristo arudipo labda ndiyo kila jiwe litageuzwa na ukweli utawekwa wazi na watu watakuwa huru!