Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
Bila kuwa na roho mbaya hauwezi kuwa tajiri
Bila kuwa katili utajiri utaendelea kuusikia kwa Mo dewj
Bila mgogoro na mamlaka hakuna utajiri.
Majibu yangu ni
*watu wanaovunja kanuni ndio wanaopata faida kubwa zaidi
dunia ya pesa inamlipa zaidi mtu anayejua kutumia kila nafasi bila kujali maoni ya watu
Mfano chivayo.Majibu yangu ni
*watu wanaovunja kanuni ndio wanaopata faida kubwa zaidi
dunia ya pesa inamlipa zaidi mtu anayejua kutumia kila nafasi bila kujali maoni ya watu
Majibu yangu ni
"Watu wanaovunja kanuni ndio wanaopata faida kubwa zaidi" angalia jinsi mafisadi na majizi ya mali/kodi za wananchi wanavoinjoi wao na vizazi vyao.
dunia ya pesa inamlipa zaidi mtu anayejua kutumia kila nafasi bila kujali maoni ya watu (hata huyo mmiliki wa facebook usidhani njia zake ni safi kama unavodhan. Kwanza wazo la hyo biashara alimzurum mtu, afu ukijua njia anazotumia ili kuua ushindani wa social media zngne ndo utashangaa zaidi)
Nitajitolea mfano mimi mwenyewe. Mm ni mtu mwaminifu, muadilifu na mchapakazi lakn miaka yangu yote ya kujituma hakuna cha maana nlichopata hata nyumba tu sina. Mpango wangu sasa nataka nibadilike sasa nikipata fursa napita nayo maana uaminifu wangu haujaweza kunipa hata connection ya kazi nzuri wala biashara nzuri.
Wasiofata sheria ndio wenye mafanikio nyie mnaoongozwa na wachungaji subirin utajir mtaupata mbinguni
Mfano chivayo.
Fikiria huyu jamaa ule utajiri kaupata kwa njia ya ku "work hard"?Mfano chivayo.
Nishatafuta sana hzo network tena nikiwa mjini kabisa lakn waaaaapiiiiiii. I think its time to try the other side.Hii story yako imenigusa sana endelea kua muaminifu tu tafta network nzuri
Eti mtu ana kakibanda ka kuuza nafaka,anachota mchele na maharage ana peleka kwa Mwamposa ili aombewe...Wasiofata sheria ndio wenye mafanikio nyie mnaoongozwa na wachungaji subirin utajir mtaupata mbinguni
Ulitakiwa ujiulize kwanza wewe binafsi ni waharifu wangapi ambao unawajua wamefanikiwa kwa uharifu wao na watiifu wangapi ambao unawajua wamefanikiwa kwa utiifu wao... Ukipata jibu hapo ndio unaweza ukawa na conclusion nzuri.Kuna jambo huwa linanichanganya sana nikitafakari maisha. Ukiangalia watu kama Bill Gates, kuna biashara na ubunifu uliochangia mafanikio yao na bidhaa zilizotumiwa na mamilioni ya watu. Lakini pia kuna matajiri wengine ambao historia ya utajiri wao imeambatana na tuhuma, utata au njia zinazokosolewa na jamii.
Hapo ndipo najiuliza: Je, kuwa mtu mwema, mwaminifu na mwenye maadili kunatosha kufanikiwa kifedha? Au wakati mwingine watu wanaovunja kanuni ndio wanaopata faida kubwa zaidi?
Kwa nini mtu anaweza kufanya mambo mazuri kwa jamii lakini akabaki na maisha ya kawaida, huku mwingine akipata utajiri mkubwa licha ya kukosolewa kwa namna alivyoutafuta?
Je, mafanikio yanategemea akili, nidhamu, fursa, bahati, maadili au uwezo wa kufanya maamuzi magumu?
Swali langu: Kama unataka kuwa tajiri, ni bora kushikilia maadili yako hata kama safari itakuwa ndefu, au dunia ya pesa inamlipa zaidi mtu anayejua kutumia kila nafasi bila kujali maoni ya watu?
Tujadili kwa mifano na hoja! π₯