Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

1. Usafiri wa kuja Mafia unapatikana maeneo gani? namaanisha ule wa Meli.
2. Bei za lodge kwa Siku zikoje?
3. Kuna vivutio gani vya kupunguzia stress huko?

Nataka nije kutembea na Mke wangu huko walau nipate pumziko la siku 4.
 
Lami ipo airport tu, tena imewekwa majuzi, mwanzoni kulikuwa na kipande kidogo cha kama mita za mraba 25 hivi kwenye egesho la ndege, mwaka 2011 nilishuhudia Mwalimu mmoja amepeleka wanafunzi hapo kuwaonesha lami ilivyo
Hapana lami ipo Mafia kuanzia pale bandarini dukani kwa Dunia mpaka kule stand lami ipo
 
1. Usafiri wa kuja Mafia unapatikana maeneo gani? namaanisha ule wa Meli.
2. Bei za lodge kwa Siku zikoje?
3. Kuna vivutio gani vya kupunguzia stress huko?

Nataka nije kutembea na Mke wangu huko walau nipate pumziko la siku 4.
Umerukia kucomment ,rudia kusoma comments toka mwanzo utapata majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…