shostito umesahau hina party! lolest! na bridal shower je?kitchen pati ni kwa ajili ya kukusanya vyombo, halafu siku hizi wanafanya kibao kata kwa ajili ya kufunza kukatika.......
shostito umesahau hina party! lolest! na bridal shower je?
kitchen party ni sherehe ya kukusanya vyombo n not otherwise! me binafs hta si-support hili. . .
tena kwenye kadi wanaandika "usilete vyombo vya cello(plastic).
yote tisa last saturday kuna mdada alifanyiwa kp wakat keshaish na hyo mwanaume over 3 years na wana mtoto et naye kenda fanyiwa kp. makubwa!
ndo ilivyo bi dada hapo anataka jiko la umeme, zulia na vyombo vya ndani tu tena vya udongo, kama kufundwa wala haitaji maana kashakomaa huyo