Chauro JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 2,968 Reaction score 1,478 Jun 24, 2012 #21 hakuna shule ya siku moja kujifunza ni kila siku akili kumkichwa
Meritta JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 1,303 Reaction score 294 Jun 24, 2012 #22 charminglady said: umeona eeh! Click to expand... aah mie tena umzururaji sana wa izzo mambo
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Jun 24, 2012 Thread starter #23 Mengi ya haya mafunzo ni kulipana fadhila kutokana na michango ya awali. Ila yale ya kiimani nayaunga mkono, angalau yanaweza kuwa mchango katika kuokoa ndoa zisivunjike ovyo kama vioo
Mengi ya haya mafunzo ni kulipana fadhila kutokana na michango ya awali. Ila yale ya kiimani nayaunga mkono, angalau yanaweza kuwa mchango katika kuokoa ndoa zisivunjike ovyo kama vioo