Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,047 Jan 19, 2017 #1 Nataka niagize mafuta haya ya Ngozi kutoka UK kwa ajili ya biashara , je ni mazuri?
LadyRed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 9,636 Reaction score 11,483 Jan 21, 2017 #2 Watu bado wana mzuka na queen Elizabeth, ss sijui haya yapoje..
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,677 Reaction score 45,532 Jan 22, 2017 #3 Hiyo lotion ni nzuri mkuu,nahisi yanatengenezwa kampuni moja na Queen Elizabeth.....mm ilinipenda!!!!!
Hiyo lotion ni nzuri mkuu,nahisi yanatengenezwa kampuni moja na Queen Elizabeth.....mm ilinipenda!!!!!
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,047 Jan 25, 2017 Thread starter #4 mumu said: Hiyo lotion ni nzuri mkuu,nahisi yanatengenezwa kampuni moja na Queen Elizabeth.....mm ilinipenda!!!!! Click to expand... Asante mama
mumu said: Hiyo lotion ni nzuri mkuu,nahisi yanatengenezwa kampuni moja na Queen Elizabeth.....mm ilinipenda!!!!! Click to expand... Asante mama