Je mafuta haya yanatumika kwa kazi zipi ?

Salaaam wana Jf

Ni langu tumaini kwamba mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Leo naomba tufahamishane kazi ambazo zinawezwa kufanywa na OLIVER OIL.
Mafuta ya Zaituni aka Olive Oil yanatibu maradhi mengi tu tumia kwa kujipaka kila unapo maliza kuoga utaona ngozi yako itakuwa ipo nyororo na laini au kunywa hayo mafuta dakika 10 kabla ya kula chakula yatalainisha tumbo kwa wale wenye kupata choo kigumu wakinywa Mafuta ya Zaituni kijiko 1 kabla ya kula chakula kwa siku mara 3 wanywe vijiko 3 basi tumbo litasaga chakula vizuri na watapata choo laini tumia kwa kunywa au kujipaka kwa kila maradhi unayatumia hayo mafuta ya Olive oil ni mafuta yenye baraka tele tu faida zake ni nyingi huwezi kuzimaliza. Ni Mafuta yaliyo barikiwa na mitume.

 
Upo kwny masuala ya urembo?!


Au ni mtalaamu wa vilainisha ngozi?!
 
You can also drizzle olive oil on your salad or kachumbari.
 
Asante sana
 
Mwanangu yaliimsaidia sana haya alikuwa na vipele kwenye joints miezi 3 wakati anazaliwa, tulihangaika na Johnson's zote hakupata tiba ,,
Hadi leo family yangu yota ( hadi mm) tunaTumia haya
 
ila hayo yenye kifuniko chekundu si kwa matuzi ya kula ni kwa kupaka tu mkuu
 
Salaaam wana Jf

Ni langu tumaini kwamba mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Leo naomba tufahamishane kazi ambazo zinawezwa kufanywa na OLIVER OIL.
HAYO YENYE LEBO NYEKUNDU NI KWA MATUMIZI YA KUPAKA TU SI SALAMA KWA KULA YANAYOFAA KULA NI YENYE LEBO NA KIFUNIKO CHA KIJANI MKUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…