Je, mafuta ya kondomu ni salama?

Wazungu utawakwepa kwenye swala fulani lakini watakupata kwa aina nyingine. Kwa ujumla wazungu hawataki kabisa waafrika wawepo. Ni vile tu hawawezi kuwaua kwa halaiki.

Sasa wanachofanya ni kuwapunguza taratibu iwe kama ni nature. Mbali na kutuletea vyakula artificial,matumizi mengine ya vitu artificial kupunguza uzazi na video,pia siku hizi kuna shida sana ya uzazi tofauti na zamani vyanzo mojawapo ni hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…