Je maganda ya karanga hayana madhara?

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Nimekua mshabiki sana wa kula karanga mbichi sikuhizi, Ila nimekua nikizibwia pamoja na maganda yake mana kuzichambua zinakua zinaleta shida.
Je maganda yake hayana madhara yoyote kiafya ?
 
1
 
Unaungumzia maganda yapi? Haya yenye rangi ya damu ya mzee yaliyo kwenye mbegu za karanga au yale ya nje yenye rangi ya kaki wanayopewa wanyama?
 
Nazungumzia ya ndani, yaliyo kwenye mbegu.
 
yale maganda ndo dawa ya kuongeza nyege ynywe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…