kuna habari ambazo zinatumwa katika mitandao ya kijamii kuwa mawakili wa cdm/ukawa wapo uholanzi kufungua kesi kuhusu uchaguzi huu na namna ccm ilivyobaka demokrasia, sasa naomba wataalam wa sheria na wadau wengine mtueleze kama hii inaswihi au vipi