Kaka kule ngende Ushuzi unarudi ndani wenyewe kule, napafahamu vizuri.Sahihi sana mkuu na kujamba pia ni haja kama unaweza kutoka ulipo ukabana USHUZ1 ili ukajambie NGEDE basi utakuwa umetimiza haja yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngende si ipo liwale mkuu? Kulikofanywa zindiko la uhuru wa Tanzania mpya?Ndio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
LindiIko kusini mkoa gani mkuu?? ..Maana nahisi mizimu imenisahau.Nataka kwenda huko.
Ndio ni haja upepoSijaelewa hapo unaposema haja mbalimbali, mi navyojua kuna haja mbili tuu, haja kubwa na haja ndogo. Sasa hizo mbalimbali ni zipi?. Au kujamba nako ni haja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu tudokeze kidogohahaaha...daah huo msitu kuna jmaa yangu alitusimulia kafika huko...full mauza uza
Jamaa yangu alienda alishangaa anatajwa jina lake huku hajamwambia mtu yoyote alafu lugha yake pia ndo alikua anaongea na mtu asie mwona kilugha chake mshikaji..Inatisha kama ni utajiri acha Mungu atakavonibariki maishani nitaridhika.Sehemu hiyo ipo kweli inapatikana wilaya ya Liwale nkoa wa Lindi katikati ya msitu wa Selous,moja ya wataalam wahudumu katika kilinge hicho ni ukoo niliozaliwa Mimi so mababu zangu walihudumia Ngende miaka mingi tu,ila kwa sasa kilinge kimepungua nguvu,pale unapewa utajiri kwa sharti la kurudisha shukrani ukijifanya kusahau unatumiwa mnyama yoyote yule anakuja kukudhuru,pale ngende ukienda unapokelewa na nyani na wanyama wengine nao wanazungumza karibia lugha zote duniani
Karibu Ngende kwa Wamagingo au Wangindo
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana kiongozi jamaa yangu alifika kwenye kijiji kimoja anasema hicho kijiji watu wamevaaa mahirizi tu shingon, mkononi,kiunoni...akakutana na mtu akamuuliza umekuja hapa wa ajili ya kwenda ngende jamaa akasema ndio umejuaje? huyo mwenyeji aksema tangu unavopanga safari yako kuja huku tunakua tumeshajua ujio wako...Mwenyeji akamwambia ila ujio wako hautafanikiwa...!! jamaa akasema nitafanikiwa...mwenyeji akasema twende, jamaa akapewa hirizi mkononi humo njiani alikua anapishana na kundi la simba lakini haliwadhuru sababu ya ile hirizi.....niishie hapo😀uongo bhana,hizo ni stori tuu bhana.
Kwa Bibi au kwa babu, watakupeleka kwenye ngendeKwahiyo ukifika Liwale Mjini na ukawauliza wenyeji nataka kufika Ngende utakuwa umefika? au kuna jina jingine zaidi ya hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikwetu kwetu tusi hilo "kende"
Ulishawahi kufika my ?Hiyo sehemu IPO Lindi
"Utajiri wa Ngende" ukisikia mtu tajiri wa ngende ni matajiri wa hovyo hovyo.
HapanaUlishawahi kufika my ?
Ok vizuri, mi nishawahi kufika hapo , nilipita kuna kazi tulikuwa tunaenda kufanya kijiji cha mbele zaidi mwaka WA Jana , hakuna msitu wala NNHapana
Siku ukitaka kwenda niambie nikupeleke kuna vinyumba viwili/vitatu sio pakutisha kama story unavyozisikia , sijui ndani ya hizo nyumba lakini, unapita misitu ya hifadhiHapana
Why utajiri wa hovyohovyo?Hiyo sehemu IPO Lindi
"Utajiri wa Ngende" ukisikia mtu tajiri wa ngende ni matajiri wa hovyo hovyo.
Mkuu msalimie Mh Membe...Ipo wilaya ya Liwale mkoa wa Lindi, kuna mjomba angu mmoja alinisimulia aliwahi kwenda kwa shida zake sasa ikawa njianj akikutana na watu wakumuuliza unaenda wapi? Anajibu "tunaenda kusikiliza uongo wao kwa hawa jamaa"(anamaanisha huko Ngende kwa waganga yaani ni waongo hawaamini ila anakwenda kujaribu) Sasa alipofika akaulizwa umekuja kufanya nini huku na wakati sisi ni waongo? Ikabidi awe mpole na kuomba radhi akaambiwa usiniombe mimi kamuombe yule pale anaoneshwa chatu mmoja mkubwa sana kama Anaconda akawekewa unga kiganjani akamlambishe ndio msamaha. Sasa Anko akifikiria maneno aliyoyasema njiani na huyo jamaa wakuombwa radhi jinsi alivyo ule unga wa kiganjani atashiba kweli au ndio atakuwa yeye mwenyewe ni msosi?[emoji3][emoji3][emoji3].
Ila ni sehemu maarufu kwa kusini inasadikia kwa kutoa utajiri na mambo mengine mengi ya kishirikina.
Sent using Jamii Forums mobile app