Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,955
Ni utajiri tu? Mapenzi je? Kuna danga nataka nilitekeSehemu hiyo ipo kweli inapatikana wilaya ya Liwale nkoa wa Lindi katikati ya msitu wa Selous,moja ya wataalam wahudumu katika kilinge hicho ni ukoo niliozaliwa Mimi so mababu zangu walihudumia Ngende miaka mingi tu,ila kwa sasa kilinge kimepungua nguvu,pale unapewa utajiri kwa sharti la kurudisha shukrani ukijifanya kusahau unatumiwa mnyama yoyote yule anakuja kukudhuru,pale ngende ukienda unapokelewa na nyani na wanyama wengine nao wanazungumza karibia lugha zote duniani
Karibu Ngende kwa Wamagingo au Wangindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi una pesa mkuu hongeraSehemu hiyo ipo kweli inapatikana wilaya ya Liwale nkoa wa Lindi katikati ya msitu wa Selous,moja ya wataalam wahudumu katika kilinge hicho ni ukoo niliozaliwa Mimi so mababu zangu walihudumia Ngende miaka mingi tu,ila kwa sasa kilinge kimepungua nguvu,pale unapewa utajiri kwa sharti la kurudisha shukrani ukijifanya kusahau unatumiwa mnyama yoyote yule anakuja kukudhuru,pale ngende ukienda unapokelewa na nyani na wanyama wengine nao wanazungumza karibia lugha zote duniani
Karibu Ngende kwa Wamagingo au Wangindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Chonde chonde ngende kimbunga marimbula nabwiti ambae.........
Mpakani mwa Mtwara na Lindi?!!!!! Si kweliNdio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
ongezea nyama. Lakini hao wa huko hawamzidi Mshana JrChonde chonde ngende kimbunga marimbula nabwiti ambae.........
Lakin hapo sio ngende mkuu mtama, nyangao, mkwera nazijua ni road tu, ngende ni sehemu nyingine Liwale hukoNdio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngende
Apo mkwele hakuna ngende,, ila kuna sehemu panaitwa bwawani, apo napo watu huenda kwa ajili ya kufanya maombi na ibada mbalimbali,, kuna bwawa ambalo wenyewe huamin kwamba kama unashida unaenda apo unafanya maombi unaoga ktk hilo bwawa kisha shda zako huisha,, ngende iko liwale,,
Naweza kuwasiliana na wew mkuu kwa maekezo Zaid?Mkuu Ngende ipo mkoa wa Lindi wilaya ya liwale tarafa ya nanjilinji kata ya mpigamiti, haya maelezo yako futa usije ukamtoa ndg yetu kwenye kusudio lake, maana umetaja hapa karibu tu nyangao, ngende ni mbali huna uwezo wa kutoka leo dar ukafika lkn hapo mkwela ukipita mtama unaingia mkwela.
Wasalam
Sent using Jamii Forums mobile app