Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Huenda majeshi ya kukodi au "mercenaries" kutoka ama nchi za Afrika Kusini, Angola, Msumbiji na hata Congo DRC yanaweza kuwa yamehusika na utekaji wa mfanyabiasha maarufu Mohamed Dewji.
Vikosi vya majeshi hayo yanaweza kuwa ni sehemu ya wanajeshi wa zamani wa jeshi la ulinzi la Afrika Kusini SANDF, wanajeshi wa zamani wa majeshi ya waasi wa nchi za Angola UNITA, Msumbii au Congo DRC.
Lakini kwa mujibu wa Mohamed Dewji mwenyewe watekaji hao walikuwa wakitumia moja ya lugha za nchi hiyo ya Afrika Kusini na walipomteka aliweza kuona ngozi zao kuwa ni nyeupe, hivyo kuweka uwezekano mkubwa kwamba hawa majeshi ya kukodi au mercenarie yanaweza kabisa kuwa ni wale wanajeshi wa zamani wa SANDF.
Majeshi ya kukodi au mervcenaries yapo mengi barani Afrika na huwa wanajihusisha na shughuli kama za ulinzi wa wafanyabiashara wakubwa wa madini, makampuni ya uchumbaji madini na hata kukodiwa kufanya utekaji kitendo kijulikanancho kama "a gun for hire for highest bidder".
Vikosi hivyo huuza ujuzi wao au expertise kwa mtu yoyote anaoehitaji lakini tu yule mwenye dau kubwa.
Pia vikosi hivi vya majeshi ya kukodiwa au mercenaries huwezi kushiriki kwtika kufanya mapinduzi ndani ya nchi kwa kuwasaidia baadhi ya wanasiasa wenye uchu wa madaraka.
Baadhi ya majina ya vikosi hivi khasa kutoka Afrika Kusini ni pamoja na Sharp End International, GK Siera Unity Resources Group, Sandline International na kadhalika.
Kukutwa kwa silaha mbalimbali ndani ya gari ilotumika kumtupa MO pale Gymkhana ni ishara tosha kwamba Tanzania sasa tunaweza kuwa na majeshi ya kukodi ambayo yanaingia na kutoka nchini.
Vikosi hivyo vinaweza kabisa kuingia nchini kupitia usafiri wa ndege, maasi au malori ya kwenda nchi jirani hivyo kuwa nijambo la kwaida tu pale anapokusalimi kwa Kiswahili kibovu kama cha "jambo" na ofisi wa uhamiaji akachekacjeka na kugonga mhuri wa kuingia kwenye pasi zao za kusafiria.
NI jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha vinafuatilia suala la utekaji wa Mo Dewji na uhakikisha wanapata taarifa zote muhimu kwa usalama wa nchi yetu.
Ni jambo la kutafakari.