Je majina ya kiarabu/kiislam na kizungu/kikristo bado yana nafasi dhidi ya majina ya ASILI?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habarini,

Hili linatakiwa lifanyiwe kazi kwa utambulisho wa vitu,watu na ,mitaa,miji,nk. yafaa yaondolewe kwani hayana nguvu yoyote mbele Mungu wa wote

Majina ni ALAMA kuu ya UTU na ASILI wa MTU.
 
Habarini,
Hili linatakiwa lifanyiwe kazi kwa utambulisho wa vitu,watu na ,mitaa,miji,nk. yafaa yaondolewe kwani hayana nguvu yoyote mbele Mungu wa wote

Majina ni ALAMA kuu ya UTU na ASILI wa MTU.
Ni kwa namna gani majina yanakua alama kuu ya utu?
 
Kwa wanangu nikiwapata majina ni mawili tu wa kwanza Furaha wa pili Amani basi
 
Majina ya kiasili yapo ila ni magumu kuandikika na kutamkwa na watu wengine wasio wa asili hiyo
 
Habarini,

Hili linatakiwa lifanyiwe kazi kwa utambulisho wa vitu,watu na ,mitaa,miji,nk. yafaa yaondolewe kwani hayana nguvu yoyote mbele Mungu wa wote

Majina ni ALAMA kuu ya UTU na ASILI wa MTU.
Nashukuru Mungu watoto wangu nimewapa majina ya asili hakuna la kizungu hata moja.
 
Mimi binafsi na watoto wangu majina yetu ni ya asili kabisa.

Sitaki shobo na majina ya ng'ambo wakati babu zetu waliunda majina yenye asili yetu.
 
Kama ZOMBOKO ni jina zuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…