Je majini yatawasaliti yanga leo?

Je majini yatawasaliti yanga leo?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Tunataarifa na aina ya mbinu kubwa wanazotumia hawa jamaa kupata ushindi hasa wakishindwa mbinu ya kutumia pesa.

Leo mbinu pekee iliyobaki kwa yanga ni kutumia kete yao ya mwisho inayowapa ushindi kwa timu za hapa ndani.
Je mchezaji mwenye pete kubwa linalobeba majini bahari atafunga tena leo?
 
Tuta washa moto kama mbumbumbu Fc kule south na kusababisha aibu kwa Taifa ya vizazizi kwa vizazi ili tupate matokeo.
 
Majini mengine tumemgawia Jwaning Galaxy amfunge mwarabu leo then aje kwa Mkapa kumaliza shughuli.
 
Back
Top Bottom