Je, majukumu ya DCI ni yapi? Asiyeijua PGO awezaje kuwa DCI?

Erythrocyte , CHADEMA should protest strongly about Kingai being elected to a position of DCI! Hii ni hatari, Chadema or upinzani wa kweli in general hamko salama. Kwa aliyoyafanya katika kesi ya kubambikiwa ya Mbowe, hafai kabisa. Huyu mama siye!
 
Niliandika kuwa Africa needs a second wave of liberation strugle, this time from fellow black colonialists, JF wakafuta uzi huo!
 
Uzi huu ni kwa Maslahi ya Taifa
Taifa lipi na wakati kwenye uzi umemtaja Mbowe kana kwamba Mbowe ndio taifa na taifa ndio Mbowe. Ki ukweli imeshaonesha wazi kuwa Mbowe hapendi hata kidogo kuona chawa wake mnatumia jina lake kwa lengo la kujitafutia ugali wenu huku mkimchonganisha yeye na mamlaka. Wenyewe mnajua mkionesha juhudi za kumpigania hata pale pasipostahili kupiganiwa mtaonekana wajanja mbele yake, na kumbe yeye anawachora tu jinsi mnapoteza muda wenu, nguvu zenu na akili zenu kwa ajili yake. Kumbuka siku ulioandika kuwa Mbowe akienda ikulu atakuwa amewasaliti wanachadema na wapenda haki mazima. Kesho yake Mbowe akapuuza mkwala wako, akaenda ikulu na bado mpaka leo unaendelea kumganda ganda na kuchafua CV za wengine kisa Mbowe. Hizi siasa za kuattack watu zishashindwa ndugu yang, angalieni njia nyingine nzuri za kutengeneza wanachama na wapiga kura wapya. Achaneni na hizi za kuchafuana toka enzi za Lowasa.
 
Ungesema tu kwa maslahi ya Mwenyekiti ungeeleweka.
Huyu ndugu yetu ni chawa sugu wa mwenyekiti wake. Pamoja na mwenyekiti wake kuonesha kuchukizwa na siasa za majitaka za kuchafua watu namna hii kwa ajili ya kujipendekeza kwake, lkn mleta mada kawa mzito kusikia. Hii ni aibu kubwa kwake na wenzake.
 
Ifike wakati wananchi tukatae ......maamuzi yetu yatatukwamua toka kwenye katiba mbovu na kufikia katiba nzuri. Nasema kwa Nia njema baada ya kutazama na kulinganisha tawala mbili chini ya JPM na SHS. Leo Kuna marekebisho mengi tu utawala wa Sasa unazipitia na kuboresha ambapo utawala uliopita ulionekana kuwa jinai.
Kwahiyo suluhu Ni katiba nzuri inayotokana na wenye nchi na siyo kwa watawala. Huwezi kutengeneza katiba ya wananchi ukiwa umezungukwa na bunduki na kuwafungulia wenye mawazo tofauti na wewe milango ya magereza.
 
Swadakta
 
mafanikio gani mjinga tuu huyooo
 


watu wameshaachana na habari za akina mdee[emoji1787][emoji1787]
 
Kule Arusha wakati akiwa huko kama RCO ndiyo wakati Sabaya alifanya uhuni wote ambao alihukumiwa kwa huo miaka 30 jela.
Kingai hakuwahi kuhoji wala kujiuliza ni kwa nini mtu ni DC mkoa mwingine na anakuja AR kunyang"anya watu hela za kulewea usiku kwenye mabaa kwa gia ya ukusanyaji kodi.
Kingai hafai kuaminiwa hata kazi ya utumishi wa house boy nyumbani achilia mbali u DCI.
To peak kingai as DCI is to prove with no doupt that our government is corrupt and rotten system.
 
Aiseeee !!!
 
Labda ni mtu wa TISS na yuko police kwa Kazi maalum...ndio maana mambo yao mengi hayajui kiundani...Hayati JPM Amewahi kugusia jambo hili kipindi hicho anamteua DGI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…