Je, majukumu ya DCI ni yapi? Asiyeijua PGO awezaje kuwa DCI?

  • Ulikuwa unasoma Maswali aliyokuwa anaulizwa na MaWakili Wasomi kina Kibatala?
  • Kwa modality ya ujibuji ule PGO ilikuwa inampiga chenga
-Kesi nyingi police wanaziharibu kutokana na kutokujua procedural laws Kama CPA,PGO NK
 

SABABU YA MANARA KUFUNGIWA

Kamati ya maadili imetaja baadhi ya maneno ambayo Msemaji wa Yanga Haji Manara aliyazungumza mbele ya Rais wa Tff Wallace Karia.

“Wewe unanifatafata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi kwa lolote,kwa chochote na huwezi kunifanya chochote. Nina uwezo wa kukufanya chochote na huna cha kunifanya.”

#yangasc #michezo #kingsfmradio #jisikiemfalme #hajisManara #Manara #sportsupdates #sportskachumbari #ligikuubara
 
Manara alijibishana na Karia , Aliyoyasema Karia unayajua ?
 
Good,ila kumbuka hakuna cha huruma wale nini,kumbuka chema chajuza kibaya chajitembeza mlitunga kesi ya mchongo na kesi hiyo hiyo ikawaumbua kuwa ninyi ni mbumbumbu.
 
Naomba nitajie polisi anayeijua PGO na kuifuata
 
Basi kwa taarifa mheshimiwa wangu, polisi wanaoijua PGO ni wale enzi za mwalimu.

Hawawa sasa ni hobela hobela. Kadiri anavyokuwa MTIIFU bila kujali reputation yake ndivyo anavyoonekana mzalendo.

Kaa ukijua kuwa, Katiba Mpya ndo jibu
Amen
 
Kuna hujuma dhidi ya Mama
Kama mama naye haoni hivyo, wala kusikia watu wema wanavyomshauri, basi tuna tatizo kubwa. Mtu yeyote anaweza kuwa Rais, kama anakuwa na washauri wazuri na kuwa na uwezo wa kuchambua na kuupima ushauri atakaopewa. kama hivyo ni kweli, basi kuna uwezekano, amezungukwa na walamba viatu, ameshindwa kuuchambua ushauri mbovu anaopewa au vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…