Speed gani?Voda wanakunywa bundle sana. Sema na speed inachangia
Imebidi ni 😂😂😂 japokuwa hakuna uhalisia wa kile umeandika na anayetafuta jibu la wizi wa mbSasa hivi tuko 4G na 5G, wewe bado uko 3G, spidi ni kubwa na bando inalika hivyohivyo.
Halafu, huku ndio kuna mapato ya kodi, si mmelimbia mashamba ya kahawa, pamba, na katani mmehamia kwenye mitandao, serikali ipo mlipo.
Ukitumia muda mwingi kumuangalia mwijaku, lazima tozo iwe kubwa, unaangalia wema sepetu anajibinua, tozo
Hakuna wizi wa MB ila utafiti niliofanya nimegundua ni kwa kuwa kwa speed imeongezeka sana ya internet ambapo inafanya kazi vizuri sanaa hata yale maeneo ambayo awali mtandao ulikuwa unasumbua sana ukitaka hata kuingia JF au kufanya chochote kile mtandaoni. Kwa hiyo mimi kwa upande wangu ni bora tuwe na kasi hii ya sasa hata kama MB zinakwisha haraka kuliko kuwa na na MB mengi halafu muda wote unahangaika na mtandao mpaka hasira zinakushika.Voda wanakunywa bundle sana. Sema na speed inachangia
Hapana na hakuna wizi wa aina yoyote ile. jaribu kufanya utafiti utagundua kuwa speed imeongezeka sana ya mtandao kwa sasa. Mfano mimi ambaye ni mtumiaji wa VODACOM kuna maeneo ambayo nilikuwa nahangaika sana juu ya kasi ndogo ya mtandao lakini siku hizi speed Ni kubwa nikiwa mahali popote pale hadi mashambani Vodacom inachapa kazi kwa kwenda mbele .hata kuwe na mvua au baridi au jua kali au vumbi Vodacom ni kazi kazi tu.hata uwe mlimani au mteremkoni au vichakani au mbugani Vodacom inakasi ileile kukupa raha ya kufurahi unachotaka kukipata mtandaoniAiseeeh ni Majizi kweli kweli ama watuambie wamepata idhini ya kutukamua kimya kimya.
Imagine mtu hupakui chochote wala kuangalia online videos lakini ndani ya muda mfupi tu mb zako zimeisha.
Nimekata tamaa ya kutumia internet kwakweli.
Vodacom wako vizuri sana hujakosea wapewe maua yao tu.Hapana na hakuna wizi wa aina yoyote ile. jaribu kufanya utafiti utagundua kuwa speed imeongezeka sana ya mtandao kwa sasa. Mfano mimi ambaye ni mtumiaji wa VODACOM kuna maeneo ambayo nilikuwa nahangaika sana juu ya kasi ndogo ya mtandao lakini siku hizi speed Ni kubwa nikiwa mahali popote pale hadi mashambani Vodacom inachapa kazi kwa kwenda mbele .hata kuwe na mvua au baridi au jua kali au vumbi Vodacom ni kazi kazi tu.hata uwe mlimani au mteremkoni au vichakani au mbugani Vodacom inakasi ileile kukupa raha ya kufurahi unachotaka kukipata mtandaoni
Kwa hakika wapo vizuri sanaa.inaonekana wamefanya maboresho makubwa sana.maana kwa sasa nafurahi speed yao ya mtandao mahali popote pale niwapo.wakati swala ilikuwa ni shida tupu kwa baadhi ya maeneo .Vodacom wako vizuri sana hujakosea wapewe maua yao tu.
Hivi unaweza kukuta hivyo vifurishi vyenyewe unaungwa juu kwa juu tu na akina Tulia, ili uje uwasifie humu jukwaani!Hakuna wizi wa MB ila utafiti niliofanya nimegundua ni kwa kuwa kwa speed imeongezeka sana ya internet ambapo inafanya kazi vizuri sanaa hata yale maeneo ambayo awali mtandao ulikuwa unasumbua sana ukitaka hata kuingia JF au kufanya chochote kile mtandaoni. Kwa hiyo mimi kwa upande wangu ni bora tuwe na kasi hii ya sasa hata kama MB zinakwisha haraka kuliko kuwa na na MB mengi halafu muda wote unahangaika na mtandao mpaka hasira zinakushika.
VODACOM wapewe pongezi kwa maboresho makubwa waliyoyafanya ambayo kwa sasa kiukweli huduma zao zimekuwa nzuri sana.
Wewe umekua wakala wao!? Unatumia nguvu nyingi sana kuwa_prove wrong wanaolalamika. Sijui unafaidika vipi!?Hapana na hakuna wizi wa aina yoyote ile. jaribu kufanya utafiti utagundua kuwa speed imeongezeka sana ya mtandao kwa sasa. Mfano mimi ambaye ni mtumiaji wa VODACOM kuna maeneo ambayo nilikuwa nahangaika sana juu ya kasi ndogo ya mtandao lakini siku hizi speed Ni kubwa nikiwa mahali popote pale hadi mashambani Vodacom inachapa kazi kwa kwenda mbele .hata kuwe na mvua au baridi au jua kali au vumbi Vodacom ni kazi kazi tu.hata uwe mlimani au mteremkoni au vichakani au mbugani Vodacom inakasi ileile kukupa raha ya kufurahi unachotaka kukipata mtandaoni