Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Makampuni ya kubeti yanatuma meseji hadi imeshakuwa kero sasa.
Mtu hata haujajisajili huduma yao yoyote lakini unashangaa unatumiwa mameseji tele ya mfululizo tena kila siku.
Lakini cha kujiuliza ni je wanawezaje kupata namba ya simu ya mtu mmojammoja?
Hapa jibu lenye mantiki ni moja tu. Inawezekana kuna mchezo mchafu unafanywa na haya makampuni ya simu kuwauzia namba zetu hawa jamaa wa betting.
Hii kitu inakera sana.
Pia soma: Wahusika Pigeni Marufuku Makampuni ya kamari kututumia ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu zetu