Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Kama ulishawahi kujisajiri kwenye hayo makampuni basi kuwa mvumilivuMakampuni ya kubeti yanatuma meseji hadi imeshakuwa kero sasa.
Mtu hata haujajisajili huduma yao yoyote lakini unashangaa unatumiwa mameseji tele ya mfululizo tena kila siku.
Lakini cha kujiuliza ni je wanawezaje kupata namba ya simu ya mtu mmojammoja?
Hapa jibu lenye mantiki ni moja tu. Inawezekana kuna mchezo mchafu unafanywa na haya makampuni ya simu kuwauzia namba zetu hawa jamaa wa betting.
Hii kitu inakera sana.
Unajua maana ya BULK SMS?Makampuni ya kubeti yanatuma meseji hadi imeshakuwa kero sasa.
Mtu hata haujajisajili huduma yao yoyote lakini unashangaa unatumiwa mameseji tele ya mfululizo tena kila siku.
Lakini cha kujiuliza ni je wanawezaje kupata namba ya simu ya mtu mmojammoja?
Hapa jibu lenye mantiki ni moja tu. Inawezekana kuna mchezo mchafu unafanywa na haya makampuni ya simu kuwauzia namba zetu hawa jamaa wa betting.
Hii kitu inakera sana.
Hoja ya kindezi kabisa hii. Yaani hata kama ni kweli ulijisajili ndio iwe marufuku kujitoa?Kama ulishawahi kujisajiri kwenye hayo makampuni basi kuwa mvumilivu
ishu ni kwanini nazipata sms wakati sijajisajili kubeti?UNAWEZA KUWASILIANA NA HUDUMA KWA WATEJA IKIWA HUPENDI HIZO KERO.
#ROCKERFELLER
ndonn icho?Unajua maana ya BULK SMS?
#YNWA
Kwa kawaida wengi wetu wakati wa kujisajili na huduma za simu zetu, huwa tunakubali tu vitu vingi ambazo mwisho wake huwa na matokeo haya.Makampuni ya kubeti yanatuma meseji hadi imeshakuwa kero sasa.
Mtu hata haujajisajili huduma yao yoyote lakini unashangaa unatumiwa mameseji tele ya mfululizo tena kila siku.
Lakini cha kujiuliza ni je wanawezaje kupata namba ya simu ya mtu mmojammoja?
Hapa jibu lenye mantiki ni moja tu. Inawezekana kuna mchezo mchafu unafanywa na haya makampuni ya simu kuwauzia namba zetu hawa jamaa wa betting.
Hii kitu inakera sana.
Pia soma: Wahusika Pigeni Marufuku Makampuni ya kamari kututumia ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu zetu
hata kama ni kweli ulijisajili ndio iwe marufuku kujitoa?Kwa kawaida wengi wetu wakati wa kujisajili na huduma za simu zetu, huwa tunakubali tu vitu vingi ambazo mwisho wake huwa na matokeo haya.
Kuna kawaida ya kubadilishana taarifa za mteja kwa taasisi washirika baada ya ruhusa zetu wakati wa kusajili kwenye mitandao tunayotumia.
Ndiyo maana unaweza akaunti yako ya benki ikapokea hela na wakati huohuo unajikuta unapokea tangazo la KFC ya ofa za kuku wao.
Ova
huduma lazima iwe na option ya mtu kuingia na kutoka. hawa hawana hiyo option. na mara nyingi wanakutumia sms hata km hujajisajili huko hizo kamari.hiyo ni huduma kama huduma nyingine
Block kama ni smartphone hutoona tena, kiswaswadu ni kipengeleMi naomba kujua nawezaje jmkuzuia msg za betting co zisije kwenye no ya voda?
Nadhani makampuni ya simu yanachukua hela kutoka betting ili watangaze huduma zaoishu ni kwanini nazipata sms wakati sijajisajili kubeti?
ndio nkakwambia hiyo ni biashara inayo waingizia pesa, sio betting companies tu wanatumia hiyo huduma bali hata serikali, meseji za polisi(kuhusu utapeli) sensa kipindikile nazani unakumbuka, pia benk kuu ya tz BOT (kuhusu mikopo mtandaoni) nao wanatumia mitandao kusambaza taarifa na tahadhari kwa watu...huduma lazima iwe na option ya mtu kuingia na kutoka. hawa hawana hiyo option. na mara nyingi wanakutumia sms hata km hujajisajili huko hizo kamari.