Mimi Meridianbet wananitumia msg 2 kila siku.
Nahisi haya makampuni huwa wanauza taarifa zetu maana juzi jumamosi imeingia msg kutoja bar maarufu mtaani kuhusu promotion zao za jumamosi, ni zile bulk sms ambazo zina jina bila namba.
Ni kweli mimi mnywaji ila sio wa kukumbushwa kwenda kunywa.
Binafsi Kila siku napata hizo messages za "freemason, betting, waganga, na zaidi hata kampuni za kutoa mikopo", sasa hii najiuliza wanapata wapi namba zangu za simu??