matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
kuna watu kama watatu baada ya kumbilia kwenye makanisa ya upako ya uamsho wa kisasa waliingia wazima ila baadae wanasumbuliwa na mapepo.
Siku ya jumapili imegeuka kama siku ya leheso ya kutoa mapepo hayo kisha jumapili ijayo zoezi linajirudia tena.
Wafanyamazingaombwe na waganga wengi wamejificha makanisani leo kama mitume na manabii. Ili ufungwe usihame lazima ufungwe kupitia sala za kurudia matamko.
Mungu huwa anatoa maonyo kimyakimya kabla haujafanya uamuzi wa kujisokomeza kwa watu usiowaelewa. Ukipuuza utaishia kuoga pepo za kukutosha.
Ni hayo tu