Kama kichwa kinavyouliza, waungwana nauliza je malipo ya korosho yamesitishwa kila nikichungulia account yangu bado hakuna kitu tatizo ni nini ? Kama ukaguzi ulishafanyika na stakabadhi ninazo je ni tatizo ni kwakua nina 2438kg (tani 2 na kilo 438) wilaya ya rufiji tatizo nini au chama cha ushirika kimefanya yake?? Au ndo nimwachie Mungu???