Savian Isaya
Member
- Sep 28, 2014
- 19
- 3
Je mama anayenyonyesha anaweza kupata mimba km akifanya mapenz na mwanaume maana cku zake hazionekan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila Shaka ww ni nurseUkiwa unanyonyesha homones za oestrogen zinasaidia usipate mimba, uzishwaji wa hormones hizi inategemea demand ya kunyonyesha. Kama mama hanyonyshi mara sita au zaidi kwa siku uzwalishwaji wa hormones unapungua na anakuwa kwenye hatari ya kuapata mimba.
Hata huvyo contraceptives hushauriwa hospitali kabla mama hajaruhusiwa.