Ukiwa unanyonyesha homones za oestrogen zinasaidia usipate mimba, uzishwaji wa hormones hizi inategemea demand ya kunyonyesha. Kama mama hanyonyshi mara sita au zaidi kwa siku uzwalishwaji wa hormones unapungua na anakuwa kwenye hatari ya kuapata mimba.
Hata huvyo contraceptives hushauriwa hospitali kabla mama hajaruhusiwa.