Hey hematologist come hereSalaam members, Naomba kujua je mama mwenye blood group O kwa kukutana na mwanume yeyote yule yaani mwenye blood group lolote lile anaweza kupata/kuzaa mtoto mwenye blood group AB ? ?
jibu ni hapanaaSalaam members, Naomba kujua je mama mwenye blood group O kwa kukutana na mwanume yeyote yule yaani mwenye blood group lolote lile anaweza kupata/kuzaa mtoto mwenye blood group AB ? ?
Brother, ukiona mbuzi kazaa sungura basi kuna namna haijenda sawa. Huyo mama group O akipata mtoto wa AB basi nivema umuwahishe makumbusho mana genetical laws zitakua violatedSalaam members, Naomba kujua je mama mwenye blood group O kwa kukutana na mwanume yeyote yule yaani mwenye blood group lolote lile anaweza kupata/kuzaa mtoto mwenye blood group AB ? ?
Nyie mnaokataa toeni sababu bhasi. Mimi naona anaweza kupata. Huenda mme wake alikuwa na ABHapana. Atapata group lolote lakini sio AB.
Nyie mnaokataa toeni sababu bhasi. Mimi naona anaweza kupata. Huenda mme wake alikuwa na AB
No more wordHiyo AB ni seli mbili A na B, moja ilitoka kwa baba na moja kwa mama. Na zenyewe ili ziende kwa mtoto itabidi zigawanyike ziwe A na B na sio AB. Mama akileta O na O ( group O= group OO) basi mtoto atapokea O ya mama na A ya baba ambayo italeta group OA ( ambalo ni group A sababu A ni dominant) au O ya mama itachukua B ya baba kuleta OB( group B). Hapa hakuna possibility ya mtoto kupata AB sababu mama hana A wala B.
uko vizuriHiyo AB ni seli mbili A na B, moja ilitoka kwa baba na moja kwa mama. Na zenyewe ili ziende kwa mtoto itabidi zigawanyike ziwe A na B na sio AB. Mama akileta O na O ( group O= group OO) basi mtoto atapokea O ya mama na A ya baba ambayo italeta group OA ( ambalo ni group A sababu A ni dominant) au O ya mama itachukua B ya baba kuleta OB( group B). Hapa hakuna possibility ya mtoto kupata AB sababu mama hana A wala B.
AU KABADILISHIWA WAKATI AKIJIFUNGUAUkimkuta Ana Mtoto wa Blood Group AB basi Karipoti Polisi haraka sana manake itakuwa ni obviously Kamuiba Hospitali huyo na wala Hajamzaa yeye
Na kwa hali ya hospitali zetu hizi wala haitoshangazaAU KABADILISHIWA WAKATI AKIJIFUNGUA
Kabisa mkuu.ni majangaNa kwa hali ya hospitali zetu hizi wala haitoshangaza
Group la damu na characters nyingine za mtoto zinarithiwa kutoka kwa wazazi na haihusiani na kuchanganywa kwa damu.Nilishawahi kupata elimu kutoka kwa wataalam wa afya kuwa mtoto huwa hachangii damu kwa namna yoyote ile kutoka kwa wazazi wakati wa akiwa tumboni mwa mama yake mpaka kuzaliwa! Sasa hili likoje au nililishwa unga wa ndele???