Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Tunafahamu JPM (R.I.P) alikuwa rais mwenye msimamo mkali na maamzi magumu. Swali hapa ni je, mama atafuata nyayo zake au atakuja na sera mpya?
Je, haya yafuatayo atayashughulikia vipi?
- Suala la wafanyabiashara kuhamishia biashara zao nchi za nje.
- Suala a ajira rasmi kwa wahitimu.
- Suala la bei za mazao na malipo kwa wakulima.
- Suala la nyongeza ya mishahara, kupanda madaraja na kubadilishiwa vyeo au muundo wa utumishi kwa waliojiendeleza kasomo.
- Manunuzi ya ndege zaidi na uendeshaji wake.
-Uhusiano wa CCM na vyama vingine vya siasa.
- Suala la KIKOKOTOO kwa wastaafu.
Karibuni tumshauri kiongozi wetu. Mimi naanza kumshauri auze 80% ya ndege za ATCL halafu pesa hiyo iboreshe usafiri wa reli nchini.