Wewe uko vzr haswaPia timu ya nne ktk ligi nayo itaingia ktk hatua za awali za UCL na ikipita kama Manu nao watashinda europa cup basi england itakuwa na timu tano i think, rule unayosema nafikiri inaaply kwa defending champion kama hatokuwapo ktk top 4 basi yule wa nne atampisha defending champ aende tetea kikombe chake!
Swali zuriKwanini nchi inayoshinda Europa league waende timu tano wakati nchi wanayoshinda UCL waende wanne tu?
Sheria za bingwa wa uropa kwenda uefa zilianza msimu uliopita kijanaNdo ujue Sevilla alienda kwa vile tu bingwa wa uefa alitoka Spain teh...teh...teh..kwi...kwi...
Duh!🙁🙁 Kweli tunatofautiana ktk kutafsiri ndo maana wachambuzi wanalipwaU
Ukitafsiri vizuri man U haiendi uefa
Ajax je?!Msimu ujao Arsenal mtakuwa mnacheza muda mmoja na FUTUHI ... Teh!
Bingwa wa fa anaenda europe leagueHata bingwa wa FA nae anatinga champions leaque
Hii kanuni inatumika ivi mfano epl– The club that had qualified for a UEFA Champions League play-off spot via their domestic league competition (i.e. finished fourth) transfer to the UEFA Europa League.
+++++++++++++++
Inamaanisha nini hii paragraph ,watu wanapenda kubisha vitu vilivyo wazi
Hii kanuni inatumika ivi mfano eplPeruzi web hapa CHINI wacha maneno
How the Europa League winners enter the Champions League
=============
• Regarding the top three associations (currently Spain, Germany and England): if two clubs from one of these countries win the UEFA Champions League and UEFA Europa League, and neither finish their domestic league in a position that qualifies them for the UEFA Champions League, the following will happen:
– The club that won the UEFA Champions League will go straight into the group stage.
– The UEFA Europa League winners will go into the UEFA Champions League play-offs.
– The club that had qualified for a UEFA Champions League play-off spot via their domestic league competition (i.e. finished fourth) transfer to the UEFA Europa League.
+++++++++++++++
Kapuuzia au ameshindwa ?Wewe jamaa unachanganya mambo! Ingekuwa hivyo Mourinho asingezipuuzia mechi za EPL.
Tunamkamua Ajax na tunatinga UCL.
Nyie Asenane mtacheza ALHAMISI usiku.
Mchawi au?Kuna taarifa kuwa hata kama manchester watashinda europa cup hawatashiriki ligi ya mabingwa kwakuwa kanuni haziruhusu.Je kuna ukweli wowote?!
Sio hivyo, kwa kutumia mfano huo huo ulioutumia ni kwamba uefa na uropa zote zikienda ktika ligi moja msimu ujao zinaingia uefa timu tano. Ndio maana spain iliingiza timu tanoWanasema Man U wangepata hiyo nafasi endapo tu bingwa wa uefa naye angetoka England, hapo ndipo mshindi wa 4 wa epl angekosa nafasi.Wanatolea mfano wa Sevilla ya Spain ilivyofanikiwa kikanuni.Nakumbuka wakati fulani totenham ilikuwa ya nne imapoteza nafasi, wakati huo bingwa wa uefa alikuwa Chelsea najaribu kutafuta ndoo ya europa ilibebwa na nani?!
Watu wanajitoa ufahamu unadhani hawaelewi basi, matumbo joto tuHii kanuni inatumika ivi mfano epl
Chelsea bingwa
Tothenam wa pili
Liver wa tatu
Man city wa 4
Arsenal wa 5 ila kashinda uefa
Man utd wa 6 ila kabeba europe
So haziwezi kwnd timu sita UEFA za england hapo city hataenda europe
Unafuatilia mpira au unasimuliwa.. Chelsea alipochukua ubingwa UEFA kwani alikuwa nafasi ya ngapi ktk ligi?? Hata alipochukua EUROPA alikuwa top 4.. bt kisheria timu yoyote ikiwa bigwa wa EUROPA hushiriki UEFA CHAMPS LG.. then mshindi wa nne upelekwa EUROPA ikiwa timu iliyoshinda haipo top 4...Wanasema Man U wangepata hiyo nafasi endapo tu bingwa wa uefa naye angetoka England, hapo ndipo mshindi wa 4 wa epl angekosa nafasi.Wanatolea mfano wa Sevilla ya Spain ilivyofanikiwa kikanuni.Nakumbuka wakati fulani totenham ilikuwa ya nne imapoteza nafasi, wakati huo bingwa wa uefa alikuwa Chelsea najaribu kutafuta ndoo ya europa ilibebwa na nani?!
Timu tano za spain zipi ndguMchawi au?
Sio hivyo, kwa kutumia mfano huo huo ulioutumia ni kwamba uefa na uropa zote zikienda ktika ligi moja msimu ujao zinaingia uefa timu tano. Ndio maana spain iliingiza timu tano
Kumbe wewe hujui mpira ee? REAL MADRID, BARCELONA, ATLETICO, SEVILLA, VILLAREAL(play-off)Timu tano za spain zipi ndgu