Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

Heshima kwenu wakuu.

Naomba kujua kama kuna umuhimu wa binti kumeza shahawa za mwanaume kwa mdomo wake.

Eti kwa kigezo cha kufurahia utamu wake,

Je, hii kitu imekaaje jamani.
Nini madhara yake kiafya?

Hakuna umuhimu wowote zaidi ya kujipatia magonjwa yasiyo ya lazima
 
Wanamama wa kizazi hiki wengi hamna utu kabisa. Badala muijaze dunia na potentially cute babies kama wa kwenye avi ya Evelyn Salt, nyie mnawameza savagely. That's disturbing heartless.
 
Last edited by a moderator:
mapenzi siku zote ni uchafu unaloona kwako ni uchafu ndo furaha ya mwenzio.wengine wanaona uchafu kunyonya PUSSY au DICK lakini wengine ni furaha yao.soo kama ndo furaha yake let them enjoy.
 
Haha. Sasa kila mwanamama aki-join hiyo 'i swallow and i'm proud' movement, si utakosa watoto wa kufundisha?
Hapana bwana sio hivo ndo maana kuna wakina "unexpected, unplaned, na planed"
kuepuka unplanned unexpected bora wawe swallowed teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…