Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

Hajapata SUP wee, wenzio wanajiandaa na SUP kule
 
Hakuna madhara yoyote, tena kuna habari kuwa ni nzuri kiafya. Sema ni uchafu na ni udhalilishaji. Sidhani kama unaweza kuoa mwanamke wa hivyo.

Mbona unsjichanganya ndg, mara hakuna madhara yyt...tena unasema ni uchafu...kitu kikishakuwq kichafu tayari kinakuwa na madhara!
 
Nackia ni dawa ya vidonda vya tumbo Teh Teh Teh Teh Teh
 
Jaman nahis nitatapika sana maana hata zikinidondokea kwenye mwili nachefukwa
 
Daily! tena unaweza kuzikusanya unakausha unga wake unafanya kinogesho kwenye uji, juice hata maji.

Hahahahaha.... Daily...... Nadhani nyonyo zako zitakua zimesimama nasikia kwamba wale wanaomeza huwa nyonyo zao zinakua imara kweli... Yaani hazilali kama soksi
 
duh! kila mtu aamue mwenyewe kama zinafaa kumeza au kutema! ila hazina madhara, kama zinapoingia mahali pake kuna raha basi hata ku meza "meza tu....
 
Hizi nyuzi za kipumbavu naona zinaongezeka, mods mko wapi?
Zinanitia kichefu chefu kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…