Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Tumeshuhudia miaka ya nyuma kabla ya 2015 Shirika la ndege kuwa karibia kufa kabisa! Serikali ikapambana kununua ndege,,, na awamu hii bado ndege mpya zinazidi kuletwa.
je ununuaji huu unaenda sambamba na Jitihada za kuongeza ujuzi na kukuza ushindani ili kukabiliana na hasara ambayo kila mwaka imekua ikizalishwa
HIZI NI BAADHI YA HASARA
CAG report
2020/2021—hasara ya Bilion 60
2022/2023—hasara ya bilion. 24
Je nini kinafanyika kuhakikisha shirika linaendeshwa kwa faida kama yalivo mashirika makubwa kama Ethiopia Airline?
Tulitegemea kuona Watanzania kupelekwa ethiopia kujifunza, kufanya partneship na mashirika makubwa kama ya south Africa na Nigeria nk