Je,maombi ya vyuo muda umeongezwa? Samahani jamani

Chasaka

Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
67
Reaction score
14
Mimi naomba kuuliza kuhusu hizi vocha za Tcu Muda umeongezwa? Maana wengine kiukweli maisha na uchumi wetu Mungu anajua lazima tupambane sana kupata pesa
 
Pole sana kaka,mwisho ilikua tarehe 30/6/2013 then wakaongeza hadi tarehe 5/7/2013.Kwa sasa wamefunga kabisaaaa.
 
Mbona me diploma bado naendelea kuapply?na haijafungwa hui imekaaje?

diploma ipo under nacte,wao walifanya some changes concerning diploma hasa kwa ajili ya wale ambao hawakuwa na E i.e principal moja ya a-level lakini wamefaulu diploma,na wamedai wanaruhusiwa kuapply mwaka huu tu
 
Ooo asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…