je mapenzi ni imani au hisia

Joined
Dec 26, 2011
Posts
16
Reaction score
3
kitu nachofahamu mimi kuwa binadamu tunapenda na hali ya kupenda ni hisia zilizo ndani ya moyo,lakini linapokuja suala la upande wa pili wa yule uliyempenda huwa tunaamini naye anakupenda kutokana na muonesho wa hisia zake.jee mapenzi ni hisia ama imani?
 
Muonesho?

Umetoa jibu mwenyewe kwa kusema kwamba "binadamu wanapenda kutokana na HISIA, kisha uwanaamini nao wanapendwa baada ya kuonyeshwa HISIA na wenzi wao".

Embu rudia swali tena. . . pengine mimi ndio sijaelewa.
 
Vyote,
kongosho ntakuja asubuh naomba unipokee unajua tangu jmosi ya trh 24 nilisahau kabisa nyumban
 
Yaani una post 3 tu na Kongosho unamjuwa? ila ushauri wa bure ni vizuri ukaedit hii thread yako ili ieleweke, mimi hapo nimetoka kapa!!
 
mapenzi ni chochote kinachokufanya uwe na mtu bila shurti.

@ziltan, nimeamua kuoa mwanamme mwingine.

@matola, hawezi shindana na moyo.
Hali halali ananiwaza mie
 

Mi nadhani ni vyote viwili, unamuamini na kuonyesha hisia zako kwake.
 
Mapenzi si imani wala si hisia-Mapenzii ni kudanganyana tu....We danganya na yule unaye mpenda akudanganye.

Kama hujui kudanganya/na unaye mpenda hajui kudanganya hamchukui roud, wazungu wanasema; The game is over.
 
Mapenzi si imani wala si hisia-Mapenzii ni kudanganyana tu....We danganya na yule unaye mpenda akudanganye.

Kama hujui kudanganya/na unaye mpenda hajui kudanganya hamchukui roud, wazungu wanasema; The game is over.

Kuna mtu alishawahi kuandika kwenye signature yake kuwa "i may not agree with you but will defend your right to express your opinion".
 
Mapenzi ni hisia,lakin udadisi hisia hizo ni natural au unatamani tu.
 
mapenzi ni chochote kinachokufanya uwe na mtu bila shurti.

@ziltan, nimeamua kuoa mwanamme mwingine.

@matola, hawezi shindana na moyo.
Hali halali ananiwaza mie

Kongosho! Umekuaje? au ze-laga! Unachakachua kama vile huchakachui ! Mtendee haki mtoa uzi basi !
 
Ni hivi Mapenzi na Imani ni vitu pacha! Hakuna panye penzi pasiwe na Imani.
Aidha pasipo Imani hakuna Mapenzi.
PEACE & LOVE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…