Nimekuwa nikijiuliza mambo haya kwa muda mrefu sasa,utakuta dada wa watu ana hela akaolewa na kijana hohehahe wanakaa kwa muda kidogo wanaachana,mwingine mwanaume ana hela pia ni handsome lakini mwanamke anamuacha anaenda kuolewa na jamaa kapuku mbaya,hii maana yake nini????

Mbona naona kama umeshajibu swali lako???mapenzi hayana formula ndo maana hayaeleweki....ila kuna formula ya kufanya ili uwe unapendwa!!
Binadamu ni kiumbe asiyetabirika.Akipewa jua atataka mvua nk.