Mapumziko yananafasi kubwa sana katika kurejesha na kuimarisha mahusiano/mapenz! Nadhani hii inachangiwa na mazingira ya mapumziko pamoja na utulivu wa akili za wapenzi hao (kifupi mapumziko huwafanya watu waliopo kwenye mahusiano ku concentrate ktk mapenzi yao), mapumziko huwafanya wapenzi kutafakari mapenzi yao kwa kina na kuja na strategy ya kuyaboresha. Wataalam katika mambo ya mahusiano husema kuwa mapumziko hurejesha upya wa mapenzi, so ni mhm sana haswa pale uonapo mambo yanakwenda mrama ktk mahusiano yako!