Je, Marekani inajiandaa kuivamia Panama chini ya Trump kisa Panama Canal?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Jumbe za Trump kwa panama kuhusu Panama Canal



Majibu ya serikali ya Panama kupitia Rais wao.

Huyu bwana jambo lengine nililo gundua kutoka kwake China inanyima usingizi sana maana kila mara anawazungumzia wenda hata sababu ya kauli hizi ya uchokozi kwa serikali ya Panama ni China.

Bila shaka China anajua hasa kufinya panapouma kwa marekani.
 
Baadhi ya mashabiki wa huyu bwana walisema sio mtu wa vita vita wala uchokozi ila ni inavyoonekana hana tofauti na marais wa siku zote wa U.S
 
Yeye kasema for economic reasons.
Na wamarekani wengi wa zamani wanadai panama ilikua chini ya USA then mambo yakaparanganyika.
 
Yeye kasema for economic reasons.
Na wamarekani wengi wa zamani wanadai panama ilikua chini ya USA then mambo yakaparanganyika.
Sifa mojawapo ya capitalism na imperialism ni expansionism policy

Huyo mzee kapagawa anaitaka Panama canal, Greenland inayomilikiwa na Denmark na Canada

Panama canal ni mali ya Wapanama, aliyekuwa raisi wa Marekani Jimmy Carter alisaini mkataba wa kuirudisha kwa Panama mwaka 1999

“Every square metre of the Panama Canal and the surrounding area belongs to Panama and will continue belonging [to Panama],”
–Mulino (President of Panama)​
 
Panama ilivorudishwa kwa Wa-panama, hapo ndo China akawa anaitumia kwa mambo yake,
So trump kaona china amejipenyeza sana panama na kuwa threat ndo maana anataka kui-retake.
 
1999 Rais alikuwa Bill Clinton
 
Mnashangilia ujambazi wa marekani anatoka kwake anaenda pola rasilimali ya nchi nyingine niwazi taifa lile ni la kijambazi mkitetea rasilimali Mali zenu mnaitwa magaidi yani neno Ugaid limekuwa nyenzo ya kimkakati ya kuwapola watu rasilimali zao wakijitetea ww GAID awe tu mwangalifu Dunia imekuwa kijiji pengine mchina kiduku Iran Russian wapo tayali Panama, wamenyuti kimyaa tu wanamcholo Tramp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…