nimekuwa nashangaa kidogo na msanii maarufu wa zi comedy hasa pale anapowaita jinsia flan kama viburudisho( cjui ni coca cola au juice ya miwa) au mimi ndio mshamba tu, nisaidieni,nielimisheni na ikibidi nisameheni buree!...otherwise hawa jamaa wako juu sana,ingawa cku hizi wana allergy na siasa za bongo cjui kwa nini au ndo pesa ilimuuzaga jesus...jotiiiiii
Yaleyale!!Tena kawaheshimu sana, kuliko wanaowaita nyapu, demu, manzi etc!
Sio kweli,wapo watu wanapeleka ujumbe kwa kupia comedy!Mfano hao hao ze comedy unataka kuniambia hawapeleki ujumbe kwa jamii?Katika mtazamo wa ki-busara, he is completely wrong. However, he is okay in as far as the comic language is concerned! Usiitafsiri tofauti na mazingira ya ki-comedy!
gashi,vimeo,vidosho,vimwana,totoz,babyface,vipoozeo nk.Tena kawaheshimu sana, kuliko wanaowaita nyapu, demu, manzi etc!
nimekuwa nashangaa kidogo na msanii maarufu wa zi comedy hasa pale anapowaita jinsia flan kama viburudisho( cjui ni coca cola au juice ya miwa) au mimi ndio mshamba tu, nisaidieni,nielimisheni na ikibidi nisameheni buree!...otherwise hawa jamaa wako juu sana,ingawa cku hizi wana allergy na siasa za bongo cjui kwa nini au ndo pesa ilimuuzaga Jesus...jotiiiiii