Je mashabiki wa Simba sc mtaishabikia Yanga sc au Azam Fc watesi wenu waliowatundika pale uwanja wa Nagwanda Sijaona??

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Mashabiki wa Simba sc wanatamani kuona Yanga akikosa kombe na Kuna muda wanachukia mno wakisikia jina la Prince Dube aliye wadhadharisha pale Nagwanda Sijaona.

Je leo mtashangilia Yanga sc akiwalipia kisasi au mtashangilia Azam huku mioyo ikiwauma lakini akimzuiya yanga kuchukua kombe???

Nawasilisha hoja.
 
mechi ni leo kumbe
 
Bora nishangilie jiwe ila sio mbogamboga fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…