Je masharti ya kukopa kwenye taasisi za fedha kupitia title deed/hati ya kiwanja yakoje?

pachanya

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2012
Posts
2,004
Reaction score
2,146
Ndugu wanajamvi naombwa kujuzwa taratibu za kukopa Katika taasisi zetu za kifedha upoje kwa dhamana ya title deed/hati ya Kiwanja..
1: Je nahitaji kuwa na business plan ili nikopesheke?
2; Je. Naweza kukopeshwa kiwango cha fedha Mara ngapi ya thamani Ya kiwanja changu?
3;Je naweza kukopeshwa ili nikaanzishe biashara mwanzo kabisa?
4;Ni taasisi gani nzuri kwa kukopa yenye terms nzuri kwa customers.
Natumaini majibu yenu yatanipa mwanga wa wapi pa kuanzia....Nina title deed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…