vizier
Member
- Jan 7, 2018
- 49
- 53
Tangu zama za mawe mwanadamu amekuwa nguzo kubwa ya maendeleo,(man power) ongezeko la watu kwa jamii mbali mbali zilifanya binadamu kuweza kuendelea na kufanikisha shughuli zao za kimaendeleo wakati huo.
Lakini sasa zama nikama zinabadilika, mashine zinachukua nafasi kubwa ya binadamu kufanya kazi, hivyo kufanya binadamu hasa vijana kutokuwa na ajira.
Hivyo kufanya binadamu kupunguza idadi yao ili waweze kwenda na matakwa ya mashine.
Je, itakuwaje? Kama binadamu akitengeneza mashine itayo mzidi ujanja? Nazani tutakuwa doomed.
Robotics generation.