karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,253
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri
Naomba niseme kidogo kwa anayopitia huyu mchezaji mwenye kipaji bwana mdogo Mason Greenwood kwa sasa.
Mwaka 2015 mchezaji wa Sunderland na timu ya Taifa ya Uingereza Adam Johnson alikamatwa na kushtakiwa kwa kushiriki mapenzi na binti wa miaka 15 ambaye ni shabiki yake katika gari yake aina ya Range Rover pia katika upekuzi wakakuta video za ngono za wanyama katika laptop yake.
Adam Johnson wala hakutaka shida akakiri kosa na mambo mengine ya mahakama yakaendelea.
Kipi kilimtokea Adam Johnson
~Baada tu ya kukiri kosa akaachana na mpenzi wake
~Sunderland wakasitisha mkataba wake
~FIFA EA sports wakamtoa
~Akapoteza mkataba na madili yake yote
Wakati anahukumiwa alikuwa na miaka 28 akahukumiwa miaka 6 jela mwezi wa pili mwaka 2016.
Lakini kwa bahati nzuri alikaa gerezani kwa miaka 3 tu na hatimaye mwaka 2019 akaachiwa huru. Kwa sasa washarudiana na mpenzi wake ambaye alimuacha baada ya kukiri kosa.
Kama hamumfahamu Adam Johnson alicheza
~ Manchester City
~ Watford
~ Leeds United
~ Sunderland
Kwa sasa hana timu yupo tu anakula pesa zake
Haya anayopitia Mason Greenwood kama ya Adam Johnson miezi ni hii hii tunaona hadi sasa watu mbalimbali washaanza kumu unfollow, Pale manchester United washamwambia until further notice, NIKE washamkataa, FIFA EA sports washamtoa.
Nipo najiuliza je na yeye atapotea kwenye ramanj ya soka kama alivyopokea Adam Johnson wa Sunderland?
Sipati jibu
Kama kuna sehemu kwenye kumbukumbu zangu nimekosea mtanikumbusha.