Je, matangazo ya waganga wa kienyeji yanapaswa kupigwa marufuku?

Last_Born

Senior Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
133
Reaction score
221
Kila kona ya mtaa kuna matangazo ya waganga. Je, ni utamaduni au biashara ya kihuni?
 
Viwakala vya shetani, vipo kazini.... kikubwa tuwapelekee injili
 
Ukiona mpaka wanayabandika kwa bidii ujue soko lipo, acha wapige pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…