Inshallah mkuuuMungu ajalie hitaji la moyo wako. Sijui chochote subiri maoni ya wachangiaji wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kwel mtu akiwa analamamba asali inaboresha kizazi yaani mfuko wa uzazi unakuwa imara kumpelekea yeye kupata mimba kwa haraka kwa wale wenye uzazi wa shida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ni rehab inasaidia lakini kwa matatizo ya kawaida tuHivi ni kwel mtu akiwa analamamba asali inaboresha kizazi yaani mfuko wa uzazi unakuwa imara kumpelekea yeye kupata mimba kwa haraka kwa wale wenye uzazi wa shida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu nilichojifunza kwenye issue ya kutafuta mtoto inatakiwa kuchukuliwa serious sometime ikiwezekana hata kutafuta kipindi ambacho mtu upo huru kiakili na kimwili ukiwa huna deni lolote yaani deni kwa maana kila kitu kazini / kwenye mishemishe zako kimekaa poa na mnachukua kalikizo kafupi ka kama siku 10 kwa kutegea mambo flani hapo nilipo bold...mtajikuta mpo pamoja muda mrefu na mna enjoy kwa pamoja na mara nyingi mambo huwa yanakuwa poa (kikubwa likizo kama hiyo mmoja ndio anaelewa lengo la pili la mapumziko hayo ni kutafuta mtoto ila mwingine ambae ni mwanamke anachotakiwa kujua ni mmeenda ku-enjoy maana wakati mwingine kumtafuta mtoto kwa kupania hasa kwa mwanamke huwa hormone zinagoma japokuwa sio mtaalaam)Watu waliowengi hukosea mahesabu ya siku zao alafu hujiona kama kizazi kipo mbali.
Wadada wengi hushindwa kuhesabu vizuri siku zao na wengine hawajui na hasa kama mmeo au mchumba yupo mbali.
Lakini pia mnaongoza kuwatunuku waganga wa jadi pesa kisa upate mimba na kwa kuwa waganga wengi hucheza na saikolojia watakuuliza maswali ambayo kwao ni jibu la tatizo lako.
Nikushauri kama kweli unajua kutumia kalenda na imeshindikana nenda hospital kacheki kizazi, na kama hujawahi kufanya abortion naamini una kizazi ila kalenda ni shida.
Sent using Jamii Forums mobile app